Ũrĩa Maroiga 2
  Click here for ENGLISH VERSION      Hihinya haha NDŨNYŨ ũgure TN


Mũtaratara
Mũciĩ
Ndũnyũ ya TN
Ũhoro wa Mũrebeti
Marebeta
Njaranda
Ndaũri
Ũrĩa maroiga
Rũga
Twandĩkĩre


From: xxxxx@tiscali.co.uk>
Sent: Friday, June 10, 2005 4:57 AM
To: waciku@gatua.com>
Subject: kirathimo

Ũngĩrogerera thome wĩ mbũri, ũngĩrotukĩrĩrwo ũkĩgĩrima, ũngĩroteretha ũkĩinĩ na watua kwarahũka warahũke ũnyitĩte ithunya. Ũgĩ waku ũrotũguna na ũgune njiarwa ciitũ.

Thaai, thaathaiya thaai!

Wachira,
United Kingdom


From: ndesanjo macha xxxxxxx@yahoo.com>
Sent: Tuesday, June 14, 2005 10:17 AM
To: Gatua wa Mbugwa waciku@gatua.com>
Subject: Re: Asante Ndugu

Ndugu yangu Gatua,
Asante sana kwa waraka wako. Nimefurahi sana kuupata. Mimi nilikuwa nimepanga kuwa nitakuandikia hivi karibuni. Nilifurahi mno kusikia kuwa kuna mshairi anatengeneza CD za mashairi kwa lugha za Kiafrika. Hongera sana kwa kazi hiyo kubwa. Mimi nami ni mshairi, hasa wa kiswahili. Mashairi huru (bila kujali vina na mizani!).

Ukiwa na habari yoyote au kazi mpya usisite kunipa taarifa ili niweke kwenye blogu.

Ningependa sana siku moja tufanye mahojiano. Blogu yangu inasomwa na watu wengi wanaojali lugha za Kiafrika (na pia wakenya wengi) kwa kuwa moja ya sababu za kuianzisha ni kujaribu kusafisha fikra zetu na kukomboa akili zetu. Ningefurahi sana kama tungehojiana juu ya kazi zako, mipango ya baadaye, watu wanavyopokea kazi zako, ushairi wa kiafrika, na mambo kama hayo.

Basi tuendelee kuwasiliana.
Uhuru!

Nduguyo ndesanjo,
Duniani


From: mshairi xxxxx@blogger.com>
To: xxxxx@yahoo.com>
Sent: Tuesday, June 14, 2005 10:32 AM
Subject: Mmoja wa wasomaji akizungumzia mashairi yako

Asante Ndesanjo ndugu yangu. Mashairi ya mshairi huyu (Gatua wa Mbũgwa) yanapendeza sana (tena yanilazimisha kujifunza Gĩkũyũ haraka sana = 'crash course'

Msomaji wa blogu ya Ndesanjo,
Duniani


GoogleGwakwo: Mũgaa 21, 2001;     Kwerũhio: Muoria Nyoni 20, 2006;     © 2001-2007 Gatua wa Mbũgwa